USTAWI WA VIUNGO, MIFUPA NA MAUNGIO. Gusa hapa kuingia kwenye ukurasa 👆🏻👆🏻

MAISHA YAMEBADILIKA — LAKINI SULUHISHO LIPO

Maisha ya sasa yameongeza mzigo mwilini. Wengi wanakutana na:

Maumivu ya viungo na maungio

● Uchovu wa mara kwa mara

Kiuno kinachokaza

Ganzi kwenye miguu/mikono

● Ukakasi usiku na uchovu wa asubuhi 

Lakini miaka michache tu nyuma, wengi walikuwa na:

● Nguvu za kutembea 

● kupanda ngazi

● kufanya kazi za nyumbani 

● kufurahia shughuli za familia bila kizuizi

Kukaa muda mrefu bila mazoezi

Huathiri mzunguko wa damu, hupunguza uimara wa mifupa na hupelekea misuli kulegea. Muda ukienda, hali hii huongeza hatari ya maumivu ya viungo, uzito kupita kiasi, na kuharibika kwa maungio (arthritis).

Kukosa usingizi

Hupunguza uwezo wa mwili kujirekebisha

Kukosa mwangaza wa jua 

Hupunguza uzalishaji wa vitamin D inayosaidia uimara wa mifupa

 ● Kutokunywa maji ya kutosha

Hupunguza ulaini wa maungio na mzunguko wa virutubisho mwilini.

Umri kuongezeka

Mifupa hupoteza nguvu na uzito wake wa asili. Viwango vya madini muhimu kama collagen, calcium na magnesium hupungua, na kusababisha maungio kuwa dhaifu au kugandamizwa kwa neva.

Jinsia (sex)

Wanawake – hasa baada ya kukoma hedhi – huwa katika hatari kubwa ya kupungua kwa wingi wa mifupa (osteoporosis), kutokana na mabadiliko ya homoni ya estrogen.

Ulaji usiofaa 

Vyakula vyenye kemikali, mafuta mengi na purines huathiri ubora wa mifupa na maungio, na huongeza hatari ya usumbufu wa viungo kadri muda unavyopita.

Uzito kupita kiasi (Obesity)

Huongeza mizigo mikubwa kwa mifupa, nyonga, magoti na mgongo. Pia huongeza msuguano na kasi ya uharibifu wa gegedu (cartilage).

Msongo wa mawazo (stress)

Huathiri usawa wa homoni na mzunguko wa damu mwilini. Hali hii huongeza uchovu wa misuli, husababisha mwili kukaza (muscle tension), na huweza kuathiri ustawi wa viungo, mifupa na hata mfumo wa neva bila kuonekana haraka.

Kurithi (Vinasaba) 

Ikiwa kuna historia ya matatizo ya mifupa au maungio kwenye familia, mtu anaweza kuwa na uwezekano mkubwa wa kukumbana na changamoto hizo kadri muda unavyopita.

Changamoto za kiafya za muda mrefu

Huweza kuharibu mfumo wa viungo na kusababisha maumivu au udhaifu wa mwili. Changamoto kama kisukari, matatizo ya homoni huweza kudhoofisha maungio na mifupa, na kusababisha kupungua kwa uwezo wa kutembea kwa uhuru. 

Virutubisho vya asili vilivyoundwa kusaidia mwili kurejesha uhalisia wake.

Vinasaidia:

✔ Kupunguza ukakasi na maumivu

✔ Kuimarisha viungo & maungio

✔ Kuupa mwili wepesi na nguvu

✔ Kurejesha uhuru wa kutembea na kufanya shughuli zako

Chukua Hatua Leo

Je, uko tayari kuanza safari ya:

✔ Viungo imara zaidi

✔ Harakati zenye uhuru

✔ Mwili ulio na nguvu na ujasiri


🟢
GLU & JOINT ACTIVE 

 Msaada Asilia kwa Mifupa gegedu (cartilage) na Maungio Yenye Afya

🌿 Glu & Joint Active imeundwa kwa muunganiko makini wa viambato muhimu vinavyofanya kazi kwa pamoja 🤝 kusaidia ustawi wa maungio na mifupa 🦴.

Kila kidonge kimechaguliwa kwa lengo la kuunga mkono uimara wa Maungio, misuli, gegedu (cartilage), urahisi wa mwendo 🚶‍♂️ na afya ya mifupa kwa ujumla 🌿, bila kuathiri usalama wa matumizi ya kila siku.

🧪 Viambato Muhimu & Kazi Zake

Glucosamine Hydrochloride

Husaidia ujenzi na ulinzi wa gegedu (cartilage) pamoja na kudumisha ulaini wa majimaji ya viungo, jambo linalochangia harakati kuwa nyepesi na za kustarehesha. Hutumika kama msaada wa lishe kwa watu wanaojali ustawi wa maungio na mifupa.

Sodium Chondroitin Sulfate

Husaidia kuzuia uharibifu wa gegedu (cartilage) na pia kuchochea utengenezaji upya wa sehemu zilizoharibika na kurekebisha tishu laini za maungio.

Calcium Carbonate

Ni chanzo bora cha calcium, inayosaidia kuimarisha mifupa, hasa kwa watu wazima, wanawake na wazee.

Casein Phosphopeptide (CPP)

Husaidia mwili kufyonza calcium kwa ufanisi zaidi, hivyo kuimarisha athari chanya ya calcium kwa mifupa.

Glucosamine & chondroitin

Husaidia kulinda muundo wa gegedu kwenye maungio ya viungo. Pia huweza kupunguza kasi ya kuharibika kwa gegedu na kusaidia kupunguza maumivu.

🌿Fomula hii ya Glu & Joint Active ni ya kipekee kwa sababu inachanganya viambato vinavyofanya kazi kwa kushirikiana kusaidia:

Gegedu (Cartilage) na maungio kuwa imara na yenye nguvu

Mifupa kuimarika, hasa kwa watu wazima

Ufanisi wa mwili kufyonza virutubisho muhimu kama calcium

 Husaidia kupunguza usumbufu unaohusiana na changamoto za maungio na mifupa kama:

Maumivu ya maungio (arthritis)

Udhaifu wa mifupa (osteoporosis)

Maumivu ya neva kutoka kiuno hadi mguuni (sciatica)

Shinikizo au usumbufu katika pingili za mgongo

Huimarisha afya ya gegedu na kusaidia kulainisha maungio kwa ufanisi zaidi

Huchangia kuimarika kwa msongamano na uimara wa mifupa

Huchangia katika mzunguko mzuri wa damu na kusaidia afya ya mishipa ya damu

Husaidia kurejesha uteute kwenye maungio, kulainisha na kuleta hisia ya ustarehe mwilini

Huchangia katika uimarishaji wa afya na ujenzi wa upya wa gegedu (cartilage)

Husaidia kupunguza maumivu ya viungo na kuboresha ustawi wa maisha yako

Husaidia viungo kuwa na msisimko na ufanisi kama wa ujana


----------------------------------

🟣 CALCIUM CARBONATE & VITAMIN D3 CHEWABLE TABLETS
Kirutubisho rafiki kwa afya ya mifupa, meno, misuli na ukuaji wa watoto.

Unatafuta njia rahisi ya kuimarisha afya ya mifupa kwa watoto, watu wazima, wazee au hata mama mjamzito?

Sasa unaweza kusaidia mwili wako kwa urahisi – bila kumeza vidonge vigumu au kukumbana na ladha mbaya!

Fomula ya kisasa ya virutubisho viwili vinavyofanya kazi kwa ushirikiano: Calcium Carbonate & Vitamin D3

🧬 SIRI YA KIBUNIFU ILIYOJIFICHA NDANI YA FOMULA HII

Katika kila kidonge, kuna muunganiko sahihi wa Calcium Carbonate na Vitamin D3 — viambato ambavyo vimechaguliwa kisayansi ili kusaidia mwili wako kutumia virutubisho kwa njia sahihi.

🔍 Lakini kwa nini ni muhimu?

Kwa kawaida, Ili mwili uweze kutumia Calcium kikamilifu, huhitaji kuwepo kwa Vitamin D3 ya kutosha. Bila hiyo, kiasi kikubwa cha Calcium hubaki bila kutumika ipasavyo.

Ndiyo maana fomula hii imeundwa kwa umakini:

Vitamin D3 

husaidia mwili kufyonza Calcium kwa ufanisi zaidi na husaidia misuli kufanya kazi na kuimarisha kinga ya mwili.

Calcium Carbonate 

huchangia uimara wa mifupa na meno Kwa muda mrefu.

Muunganiko huu unafanya kazi kwa usawa — kana kwamba una fundi wawili wa ndani ya mwili wanaoshirikiana kuhakikisha manufaa hayapotei. Kwa afya bora ya mifupa kila siku, mwili huhitaji Calcium pamoja na Vitamin D.

✅ Huchangia katika ufanisi wa misuli kufanya kazi zake ipasavyo

✅ Huchangia katika ukuaji mzuri wa meno kwa watoto

✅ Huimarisha afya na uimara wa mifupa

✅ Husaidia mishipa ya fahamu (nerves) kuwasiliana kati ya ubongo na sehemu nyingine za mwili ili kuratibu mwitikio wa mwili.

✅ Huimarisha utendaji wa kawaida wa misuli ya moyo na kusaidia mchakato wa kuganda kwa damu (blood clotting) kwa afya bora.

✅ Husaidia mwili kudumisha uwiano mzuri wa shinikizo la damu kupitia ulaji wa Calcium wa kutosha. 

✅ Husaidia kuzuia na kudhibiti hali ya mifupa dhaifu, laini/inayovunjika kirahisi (osteoporosis/brittle bones), kwa kutumia virutubisho muhimu vya Calcium na Vitamin D.

✅ Husaidia kudumisha afya ya utendaji wa ubongo ikiwa ni pamoja na kufikiri na kumbukumbu.

✅ Huchangia katika kupunguza hatari ya matatizo ya kiafya yanayohusiana na utumbo mpana.

✅ Husaidia kupunguza hisia za ganzi au kuchomachoma kwenye mikono au miguu, kutokana na uwezo mzuri wa mwili kufyonza Calcium.

✅ Husaidia ngozi kuonekana yenye afya na mwonekano wa asili, huku ikipunguza hali ya kufifia kutokana na mchango wa Vitamin D3.

✅ Huchangia katika kuimarisha hamu ya kula kwa njia ya asili.


UHALALI NA USALAMA WA BIDHAA

● Bidhaa zetu ni virutubisho vya lishe, si dawa
● Zimetengenezwa kwa kuzingatia viwango vya ubora vinavyotambulika kimataifa
● Zimepitia udhibiti wa ubora kwa kufuata taratibu za GMP, HALAL & HACCP
● Zimetengenezwa kwa kutumia viambato vya asili vilivyochaguliwa kwa umakini
● Zinafaa kutumika kama sehemu ya mtindo bora wa maisha wa kila siku



                             👇👇👇
 

--------------------------------

                
⚠️ TAHADHARI MUHIMU⚠️

● Bidhaa hizi zinatengenezwa rasmi na Zkoon times international

● Healthy & Wealthy Living ni mshirika wa kuunganisha wateja.

●Bidhaa hizi ni virutubisho, si dawa.

● Matokeo hutofautiana kwa kila mtu

● Ushauri wa kitaalamu wa afya unapendekezwa kabla ya matumizi, hasa kwa wenye hali maalum za kiafya.

● Salama kwa matumizi ya kila siku kama sehemu ya lishe bora

● Tunazingatia uwazi, uadilifu na ustawi wa afya kwa wateja wetu.

-----------------------------------------------

Taarifa zote kwenye tovuti hii ni za elimu tu. Bidhaa ni virutubisho vya lishe, si dawa.
© Healthy & Wealthy Living | Partner of Zkoon Times International.

Post a Comment

0 Comments